TUME YA MADINI

Taifa logo iliiyopitishwa

CONTACT US | FAQs | STAFF MAIL | ENGLISH / SWAHILI

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA

MINISTRY OF MINERALS

 THE MINING COMMISSION

Uncategorized


Deprecated: preg_replace(): Passing null to parameter #3 ($subject) of type array|string is deprecated in /data/tumemadinigo/public_html/wp-includes/kses.php on line 1745

WAZIRI MAVUNDE AFUTA MAOMBI YA LESENI ZA MADINI 227

-Awataka wadau kuzingatia matakwa ya Sheria -_wamiliki wa akaunti za uombaji na usimamizi wa leseni kwa njia ya mtandao ambao sio waaminifiu kusitishiwa akaunti zao -Zoezi la ufutaji wa maombi na Leseni kuwa endelevu -Amtaka kila mmoja kufuatilia hadhi ya maombi au Leseni zake Waziri wa Madini, Mheshimiwa Anthony Mavunde amebainisha kwamba Serikali kupitia Tume …

WAZIRI MAVUNDE AFUTA MAOMBI YA LESENI ZA MADINI 227 Read More »

WAZIRI MAVUNDE AAINISHA MIKAKATI YA UONGEZAJI THAMANI MADINI NCHINI

-Asikiliza changamoto za wadau wa madini. -Aiagiza Tume kuruhusu usafirishwaji wa madini yaliyoongezewa thamani kutokana na teknolojia iliyopo. -Serikali kuwezesha miundombinu ya uwekezaji wa viwanda vya thamani. Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde leo Aprili 22, 2024 jijini Dodoma amekutana na wafanyabiashara wa madini na wachimbaji wa madini kwa lengo la kusikiliza changamoto zinazowakabili kwenye …

WAZIRI MAVUNDE AAINISHA MIKAKATI YA UONGEZAJI THAMANI MADINI NCHINI Read More »

CHUO CHA SERIKALI ZA MITAA HOMBOLO WAPEWA ELIMU KUHUSU USHIRIKISHWAJI WA WATANZANIA KATIKA SEKTA YA MADINI

_Wadau wa elimu wapongeza Tume ya Madini na kuomba elimu kuendelea kutolewa katika Taasisi nyingine za elimu_ *Dodoma* Tume ya Madini kupitia Kurugenzi ya Ukaguzi na Biashara ya Madini leo Aprili 16, 2024 imeendesha mafunzo kwa wahadhiri na wanafunzi wa Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo kuhusu ushirikishwaji wa watanzania katika Sekta ya Madini ikiwa …

CHUO CHA SERIKALI ZA MITAA HOMBOLO WAPEWA ELIMU KUHUSU USHIRIKISHWAJI WA WATANZANIA KATIKA SEKTA YA MADINI Read More »

WAZIRI MAVUNDE AAINISHA MIKAKATI YA KUMALIZA MIGOGORO MIRERANI

-Serikali yarusha ndege ya Utafiti ndani na nje ya ukuta kupata kupata viashiria vya mwamba wa madini -Taarifa za utafiti kusaidia kuwaongoza vizuri wachimbaji -Atoa tuzo kwa wachimbaji wanaorudisha kwa jamii(CSR) -Aongoza futari ya pamoja na wachimbaji wadogo Waziri wa Madini Mh. Anthony Mavunde amesema serikali itahakikisha inakuja na suluhisho la migogoro baina ya wachimbaji …

WAZIRI MAVUNDE AAINISHA MIKAKATI YA KUMALIZA MIGOGORO MIRERANI Read More »

WAZIRI MAVUNDE ATATUA MGOGORO WA WACHIMBAJI MADINI MALERA-TARIME

 Aondoa zuio la awali la mgao wa mawe  Aelekeza Wachimbaji waruhusiwe na mgawo kuanzia tarehe  Machi 26, 2024  Wachimbaji waishukuru Serikali kwa utatuzi wa mgogoro na wenye Leseni za kuchimba dhahabu  Asisitiza wachimbaji wadogo wasiondolewe katika maeneo ya uzalishaji Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde  Machi 25, 2024  alifika katika eneo la Malera Wilaya ya …

WAZIRI MAVUNDE ATATUA MGOGORO WA WACHIMBAJI MADINI MALERA-TARIME Read More »

WAZIRI MAVUNDE AELEKEZA KUFUTWA KWA LESENI NA MAOMBI YA LESENI 2648

Jumla ya eneo la ekari Milioni 13 zinashikiliwa na watu 6 Awataka wenye Leseni za utafiti kutowatumia wachimbaji wadogo kama sehemu ya utafiti Maeneo mengi kugawiwa vikundi vya wachimbaji wadogo na wawekezaji wenye uwezo wa kuchimba Wamiliki wa Leseni wadaiwa Bilioni 36 kwa kushindwa kulipa Zoezi hili kuwa endelevu kuondoa ubabaishaji katika sekta ya madini …

WAZIRI MAVUNDE AELEKEZA KUFUTWA KWA LESENI NA MAOMBI YA LESENI 2648 Read More »

TANZANIA YAANDIKA HISTORIA KUWA NA MGODI WA MADINI TEMBO, KIWANDA CHA KISASA CHA USAFISHAJI METALI

-Eneo la Tajiri- Handeni lina tani milioni 268 za mashapo ya Madini Tembo ikijumuisha tani milioni 74 za mashapo yaliyothibitika -Mgodi kuingizia Serikali Mapato dola za Marekani milioni 437.96 (Trilioni 1.12 Tshs) kutokana na gawio la hisa za Serikali, kodi na tozo -Kiwanda kuchakata na kuzalisha metali zenye ubora Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde …

TANZANIA YAANDIKA HISTORIA KUWA NA MGODI WA MADINI TEMBO, KIWANDA CHA KISASA CHA USAFISHAJI METALI Read More »

” THE MINING COMMISSION’S ROLE IN TRANSFORMING THE MINING SECTOR”

Three years of President Samia………. 42 mineral markets and 99 buying centers have been established. The speed of issuing mining licenses has increased from 5,094 in 2018/19 to 9,642 in 2022/23. Collections have tripled from 213.3 billion shillings in 2016/17 to 677.7 billion shillings in 2022/23. “Minister Mavunde Earns High Praise from Small-Scale Miners for …

” THE MINING COMMISSION’S ROLE IN TRANSFORMING THE MINING SECTOR” Read More »

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA NISHATI NA MADINI YATEMBELEA MRADI WA UJENZI WA JENGO LA TUME YA MADINI MAKAO MAKUU JIJINI DODOMA

Ujenzi wake wafikia asilimia 87.5 Yamtaka Mkandarasi kuongeza kasi ya ujenzi Dodoma Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, leo Machi 19, 2024 ikiongozwa na Naibu Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Kheri Mahimbali imefanya ziara kwenye mradi wa ujenzi wa Jengo la Tume ya Madini …

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA NISHATI NA MADINI YATEMBELEA MRADI WA UJENZI WA JENGO LA TUME YA MADINI MAKAO MAKUU JIJINI DODOMA Read More »

Scroll to Top