THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
MINING COMMISSION

News


 • news title here
  02
  Oct
  2020

  PROFESA MSANJILA AKUTANA NA KAMPUNI YA MADINI YA TWIGA

  Tarehe 01 Oktoba, 2020 Katibu wa Wizara ya Madini, Profesa Simon Msanjila amekutana na watendaji wa Kampuni ya Madini ya Twiga jijini Dodoma kwa ajili ya kupata taarifa ya utekelezaji wa kampuni hiyo pamoja na changamoto zake kwenye shughuli za uchimbaji wa madini. Read More

 • news title here
  28
  Sep
  2020

  TUME YA MADINI YAPATA KIKOMBE CHA USHINDI KWENYE MAONESHO YA MADINI GEITA

  Tarehe 27 Septemba, 2020 Tume ya Madini imepata kikombe cha ushindi mara baada ya kuibuka mshindi wa kwanza kwenye Kundi la Taasisi Wezeshi za Serikali Sekta ya Madini katika Maonesho ya Teknolojia na Uwekezaji kwenye Sekta ya Madini yaliyohitimishwa katika Uwanja wa Kituo cha Uwekezaji Bombambili Geita Majini. Read More

 • news title here
  27
  Sep
  2020

  PROFESA MANYA ATEMBELEA MABANDA YA WIZARA YA MADINI KWENYE MAONESHO YA MADINI GEITA

  Leo tarehe 27 Septemba, 2020 Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Profesa Shukrani Manya ametembelea mabanda ya Wizara ya Madini kwenye Maonesho ya Teknolojia na Uwekezaji kwenye Sekta ya Madini yanayoendelea katika Uwanja wa Kituo cha Uwekezaji Bombambili Geita Majini. Read More

 • news title here
  24
  Sep
  2020

  PROFESA MSANJILA AFUNGUA KONGAMANO LA BIASHARA NA UWEKEZAJI GEITA

  Leo tarehe 23 Septemba, 2020 Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Profesa Simon Msanjila amefungua kongamano la biashara na uwekezaji katika Maonesho ya Tatu ya Teknolojia na Uwekezaji kwenye Sekta ya Madini yanayoendelea katika Uwanja wa Kituo cha Uwekezaji wa Bomba Mbili Mjini Geita. Read More

 • news title here
  20
  Sep
  2020

  TUME YA MADINI YAPONGEZWA KWA ELIMU BORA KWENYE MAONESHO YA MADINI GEITA

  Wadau wa madini nchini wameipongeza Tume ya Madini kwa elimu bora kuhusu shughuli za utafiti, uchimbaji na biashara ya madini na kuongeza kuwa elimu hiyo itawasaidia sana kuboresha ushiriki wao kwenye Sekta ya Madini Read More

 • news title here
  11
  Sep
  2020

  KATIBU MTENDAJI WA TUME YA MADINI AKUTANA NA WADAU WA MADINI DODOMA

  Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Profesa Shukrani Manya tarehe 10 Septemba, 2020 amekutana na wadau wa madini jijini Dodoma kwa lengo la kusikiliza na kutatua changamoto mbalimbali. Read More