THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
MINING COMMISSION

Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Mhandisi Yahya Samamba akiwa ameshikilia jiwe la uzito wa kilogramu 1.48 lenye thamani ya shilingi milioni 713.7 na jiwe lingine la uzito wa kilogramu 3.74 lenye thamani ya shilingi bilioni 1.53. kwenye hafla ya ununuzi wa madini iliyofanyika katika Kituo cha Tan

Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula akiwa ameshikilia jiwe la uzito wa kilogramu 1.48 lenye thamani ya shilingi milioni 713.7 na jiwe lingine la uzito wa kilogramu 3.74 lenye thamani ya shilingi bilioni 1.53. kwenye hafla ya ununuzi wa madini iliyofanyika katika Kituo cha Tanzanite c

KAWISHE BILIONEA MPYA WA MADINI YA TANZANITE

WANAWAKE TUME YA MADINI WATEMBELEA KITUO CHA WASIOONA

Mgeni Rasmi, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Hafla ya Utiaji Saini Mikataba Baina ya Serikali na Kampuni za Uchimbaji wa Madini, iliyofanyika Katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC) Disemba 13,2021, Jijini Dar es Salaam.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg. Job Ndugai akimkabidhi leseni ya Uchimbaji mkubwa wa Madini Mkurugenzi wa Kampuni ya Tembo Nickel Corporation Limited Bw. Chris Shaw Water tarehe 27/10/2021, Jijini Dodoma.

Waziri wa Madini, Doto Biteko na Bilionea Laizer Saniniu (katikati) wakiwa wameshika jiwe kubwa la Tanzanite. Kushoto ni Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo.

Waziri wa Madini Doto Biteko akifurahi Madini ya Tanzanite yenye uzito mkubwa baada ya kukabidhiwa na Mchimbaji Mdogo Saniniu Laizer wa kwanza kulia). Kulia kwake ni Naibu Waziri wa Madini Stanslaus Nyongona kushoto ni Katibu Mkuu wa Madini Prof. Simon Msanjila.

Uzinduzi wa Cheti cha Uhalisia kwa Madini ya 3T’s ulifanywa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akihutubia washiriki zaidi ya 1,000 kutoka ndani na nje ya nchi waliohudhuria Mkutano wa Kimataifa katika Sekta ya Madini Tanzania 2020.

Buzwagi Gold Mine in Shinyanga Region

Open cast mining at Geita Gold Mining Limited

Small Scale Mining at Mirerani in Manyara Region

Geita Mineral Market


Prof. Idris S. Kikula

Chairman

Biography

Eng. Yahya I. Samamba

Acting Executive Secretary

Biography

Latest News

[150x90]
04
Feb

MFUMO WA USHIRIKISHWAJI WA WATANZANIA KWENYE SEKTA YA MADINI KURAHISISHA HUDUMA MIGODINI Read More

[150x90]
30
Jan

WACHIMBAJI MZINGATIE USALAMA NA MAZINGIRA MIGODINI Read More

[150x90]
24
Jan

MAKAA YA MAWE YAONGEZA MAPATO BANDARI YA MTWARA Read More

Tanzania Mining Cadastre Map

View More