THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
MINING COMMISSION

News


 • news title here
  13
  Aug
  2021

  KATIBU MTENDAJI TUME YA MADINI APONGEZA UKUSANYAJI WA MADUHULI KWA MWAKA WA FEDHA 2020/2021

  Awataka watumishi kuendelea kuwa wabunifu na waadilifu Read More

 • news title here
  07
  Jul
  2021

  WAZIRI NA KATIBU MKUU WA WIZARA YA MADINI WATEMBELEA BANDA LA WIZARA YA MADINI KWENYE MAONESHO YA SABASABA

  Tarehe 05 Julai, 2021 Waziri wa Madini, Doto Biteko na Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Profesa Simon Msanjila wametembelea Banda la Wizara ya Madini katika Maonesho ya Kimataifa ya Sabasaba yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Read More

 • news title here
  05
  Jul
  2021

  WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI ATEMBELEA BANDA LA WIZARA YA MADINI KWENYE MAONESHO YA SABASABA

  ​Tarehe 04 Julai, 2021 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Liberata Mulamula ametembelea banda la Wizara ya Madini na Taasisi zake katika Maonesho ya Kimataifa ya Sabasaba yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam Read More

 • news title here
  28
  Apr
  2021

  UKUSANYAJI WA MADUHULI SEKTA YA MADINI WAFIKIA ASILIMIA 91.9

   Ni kutokana na usimamizi makini wa Wizara ya Madini Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula amesema kuwa katika kipindi cha mwezi Julai, 2020 hadi Aprili, 28 mwaka huu Tume ya Madini imefanikiwa kukusanya kiasi cha shilingi bilioni 484.435 ambayo ni sawa na asilimia 91.97 ya lengo la ukusanyaji wa maduhuli ya kiasi cha shilingi bilioni 526.722 kwa mwaka wa fedha 2020-2021. Read More

 • news title here
  28
  Apr
  2021

  PROFESA KIKULA AONGOZA BONANZA LA TUME YA MADINI

  Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula tarehe 26 Aprili, 2021 ameongoza bonanza la watumishi wa Tume ya Madini Makao Makuu lililofanyika jijini Dodoma. Bonanza hilo limeshirikisha pia Kaimu Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini,viongozi wa Tume ya Madini ikiwa ni pamoja na Mkurugenzi wa Huduma za Tume, William Mtinya, Mkurugenzi wa Ukaguzi wa Migodi na Mazingira, Dkt. Abdulrahman Mwanga, Mkurugenzi wa Huduma za Sheria, Ayub Mwenda, na Mkurugenzi wa Manunuzi, Jeremiah Mwakipesile. Read More

 • news title here
  28
  Apr
  2021

  SEKTA YA MADINI YAZIDI KUPAA - PROF. MSANJILA

  ​Yaongoza kwa kuingiza fedha za kigeni mwaka 2020 Read More