THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
MINING COMMISSION

News


  • news title here
    09
    Mar
    2020

    TANZANIA SASA RASMI KUUZA MADINI YA BATI NJE

    Yazindua Cheti cha Uhalisia kwa Madini ya 3T’s Read More

  • news title here
    03
    Mar
    2020

    MASOKO YA MADINI YAINGIZA BILIONI 58.8 -PROFESA MANYA

    Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Profesa Shukrani Manya amesema kuwa, tangu kuanzishwa kwa masoko ya madini mapema Machi, 2019 hadi Desemba, 2019, masoko hayo yameiingizia Serikali kiasi cha shilingi bilioni 58.8 Read More

  • news title here
    01
    Jan
    2020

    TUME YA MADINI YATANGAZA ZABUNI UNUNUZI WA MAENEO YENYE LESENI HODHI ZA MADINI, DESEMBA 19, 2019

    Tume ya Madini imetangaza zabuni kwa ajili ya ununuzi wa maeneo 10 yenye leseni hodhi za madini na yenye ukubwa wa kilomita za mraba 381.89 Read More

  • news title here
    18
    Nov
    2019

    STAMICO HII HAIWEZI KUFUTWA - KAMATI YA BUNGE

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mashirika ya Umma imesema Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) haliwezi kufutwa tena kutokana na mwenendo wa sasa kuridhisha kutokana na utendaji wake na kubadili mtazamo wa awali. Read More

  • news title here
    15
    Nov
    2019

    WAFANYABIASHARA ARUSHA WAPEWA SIKU MOJA KUHAMISHIA SHUGHULI ZAO NDANI YA SOKO

    Waziri wa Madini Doto Biteko ametoa siku moja kwa Wafanyabiashara wote wa Madini Mkoani Arusha kuhamishia shughuli zao ndani ya Soko na watakao bainika kununua madini nje ya Soko watachukuliwa hatua za kisheria ikiwemo kufutiwa leseni zao na kufikishwa Mahakamani. Read More

  • news title here
    03
    Nov
    2019

    WACHIMBAJI WA MADINI WATAKIWA KUHAKIKISHA WANA LESENI ZA MADINI

    Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula amewataka wachimbaji wa madini ya ujenzi nchini kuhakikisha wanapata leseni za madini kama Sheria ya Madini na Kanuni zake inavyofafanua Read More