THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
MINING COMMISSION

News


 • news title here
  19
  Jul
  2023

  TUME YA MADINI YATOA SIKU SABA KWA WAMILIKI WA LESENI KUTEKELEZA MASHARTI

  Tume ya Madini imetoa siku saba kwa wamiliki wote wa leseni za madini zikiwemo leseni za utafutaji wa madini, leseni za uchimbaji mdogo, wa kati na mkubwa wa madini, leseni za uchenjuaji wa madini, leseni za uyeyushaji wa madini na leseni za usafishaji wa madini kuhakikisha wanatekeleza masharti ya leseni zao kwa mujibu wa Sheria. Read More

 • news title here
  10
  Jul
  2023

  SERIKALI YAANISHA MIKAKATI YA KUVUTIA WAWEKEZAJI SEKTA YA MADINI

  ‚ÄčKatibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Mhandisi Yahya Samamba Read More

 • news title here
  15
  Jun
  2023

  MAUZO YA MADINI NJE YA NCHI YAPAISHA SEKTA YA MADINI

  Mwaka 2022-2023 yaipatia nchi shilingi trilioni 6.33 maduhuli yakiwa shilingi bilioni 619.6 Read More

 • news title here
  06
  Jun
  2023

  TUME YA MADINI YAWAPIGA MSASA WADAU WA MADINI KIGOMA

  Timu ya wataalam waandamizi wa Tume ya Madini wakiongozwa na Mkurugenzi wa Ukaguzi Migodi na Mazingira Read More

 • news title here
  16
  May
  2023

  KASSIM MAJALIWA: KONGAMANO LA MADINI LIMEONGEZA FURSA SEKTA YA MADINI

  *Wizara ya Madini imeagizwa kukagua Tozo na Kodi kandamizi* *Serikali inaendelea kuboresha mazingira mazuri ya biashara ya madini* Read More

 • news title here
  16
  May
  2023

  MADINI UJENZI NA VIWANDA YAPAISHA SEKTA YA MADINI KILIMANJARO

  Yachangia asilimia 82.6 katika makusanyo ya mwaka 2021/2022 Read More