News
-
01
Nov
2019WACHIMBAJI MADINI UJENZI MOROGORO WAFURAHISHWA NA KASI YA UTOAJI HUDUMA TUME YA MADINI
Wachimbaji wa Madini Ujenzi katika Wilaya ya Mvomero wamempongeza Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula pamoja na Uongozi wa Tume ya Madini kupitia Ofisi ya Afisa Madini Mkazi wa Mkoa wa Morogoro kwa kuwatembelea na kutatua kero mbalimbali zilizokuwa zikiwakabili kwa muda mrefu. Read More
-
30
Oct
2019WACHIMBAJI MADINI UJENZI WATAKIWA KUWA NA MIKATABA YA UTOAJI HUDUMA KWA JAMII
Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula amewataka wachimbaji wa madini ya ujenzi kuwa na mikataba ya utoaji wa huduma kwa jamii inayotambulika kisheria ili kuepuka migongano inayoweza kujitokeza baina yao na wananchi wa vijiji vinavyozunguka machimbo Read More
-
29
Oct
2019MWENYEKITI TUME YA MADINI AFANYA ZIARA DODOMA
Leo tarehe 29 Oktoba, 2019 Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula amefanya ziara Wilayani Dodoma Mjini lengo likiwa ni kukagua shughuli za uchimbaji wa madini ya ujenzi pamoja na kutatua kero mbalimbali. Read More
-
11
Oct
2019TUME YA MADINI YAENDESHA MAFUNZO YA UTEKELEZAJI WA MPANGO WA BAJETI YA MWAKA 2019-2020 KWA WATENDAJI
Tarehe 03 Oktoba, 2019 Kurugenzi ya Huduma za Tume ilitoa mafunzo ya namna ya utekelezaji wa mpango wa bajeti ya mwaka wa fedha 2019/2020 kwa watendaji jijini Dodoma lengo likiwa ni kuwajengea uwezo wa namna ya kusimamia matumizi ya fedha kwenye utekelezaji wa majukumu yao. Mafunzo hayo ya siku tatu yaliyomalizika tarehe 05 Oktoba, 2019 yalishirikisha Wakurugenzi na Mameneja kutoka Makao Makuu ya Tume ya Madini,Maafisa Madini Wakazi wa Mikoa, pamoja na maafisa bajeti. Read More
-
11
Oct
2019TUME YA MADINI PAMOJA NA TAASISI ZA WIZARA YA MADINI YASHIRIKI MAONESHO YA SADC
Tume ya Madini pamoja na Taasisi zilizopo chini ya Wizara ya Madini, ilishiriki katika maonesho ya kimataifa ikiwa ni sehemu ya mkutano wa 39 wa Wakuu wa SADCuliofanyika kuanzia tarehe 05 Agosti, 2019 hadi tarehe 09 Agosti, 2019 katika ukumbi wa mikutano wa Kituo cha Kimataifa cha Mwalimu Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam. Read More
-
10
Oct
2019WATUHUMIWA WIZI WA MADINI WAFIKISHWA MAHAKAMANI
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imewafikisha Mahakamani Watuhumiwa Wanane (8) kwa makosa mbalimbali likiwemo la kuingia katika Mgodi wa North Mara na kuiba mifuko 15 ya Mawe yenye Dhahabu yanayokadiriwa kuwa na thamani ya zaidi ya shilingi Milioni 234 za kitanzania. Read More