THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
MINING COMMISSION

News


 • news title here
  01
  Mar
  2023

  WAFANYABISHARA WA MADINI WATAKIWA KUEPUKA UTOROSHAJI NA BIASHARA HARAMU YA MADINI

  Kamishna wa Tume wa Madini Profesa. Abdulkarim Mruma ametaka Wafanyabiashara wa madini nchini kuepuka na vitendo vya utoroshaji na biashara haramu ya madini, kwani vitendo hivyo vina athari kwa Wafanyabishara na Taifa kwa ujumla Read More

 • news title here
  16
  Feb
  2023

  SERIKALI KUENDELEA KUIMARISHA USALAMA KWENYE USAFIRISHAJI WA MADINI KUPITIA VIWANJA VYA NDEGE

  Mkaguzi wa Madini kutoka Ofisi ya Tume ya Madini katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro, Mhandisi Nyanswi Mbona amesema kuwa Serikali kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama imeendelea kuimarisha usalama kwenye usafirishaji wa madini mbalimbali kwenda nje ya nchi kupitia viwanja vya ndege ikiwa ni sehemu ya mikakati ya kudhibiti utoroshaji wa madini Read More

 • news title here
  16
  Feb
  2023

  RUBI YAINEEMESHA MUNDARARA

  Kituo cha ununuzi wa madini kuanza hivi karibuni Read More

 • news title here
  14
  Feb
  2023

  WADAU WA MADINI WAIPONGEZA SERIKALI USIMAMIZI WA UKUTA WA MIRERANI

  Wadau wa madini wakiwa ni pamoja na wachimbaji na wafanyabiashara wa madini ya tanzanite wanaoendesha shughuli zao ndani ya ukuta wa Mirerani, Wilayani Simanjiro mkoani Manyara wameipongeza Serikali kupitia Wizara ya Madini, Tume ya Madini kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama kutokana na usimamizi mzuri wa shughuli za uchimbaji na biashara ya madini ndani ya ukuta huo hali iliyopelekea kuimarika kwa usalama na kupungua kwa vitendo utoroshaji wa madini. Read More

 • news title here
  04
  Feb
  2023

  MFUMO WA USHIRIKISHWAJI WA WATANZANIA KWENYE SEKTA YA MADINI KURAHISISHA HUDUMA MIGODINI

  Kamishna wa Tume ya Madini, Janet Lekashingo amesema kuwa Mfumo wa Ushirikishwaji wa Watanzania kwenye Sekta ya Madini utasaidia kutunza taarifa vizuri, usalama na kurahisisha shughuli za migodi Read More

 • news title here
  30
  Jan
  2023

  WACHIMBAJI MZINGATIE USALAMA NA MAZINGIRA MIGODINI

  Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Prof. Kikula Read More