News
-
17
Apr
2023SERIKALI YAENDELEA KUSISITIZA KAMPUNI ZA UCHIMBAJI WA MADINI KUSHIRIKI KATIKA SHUGHULI ZA KIJAMII
Serikali imezielekeza kampuni za uchimbaji wa madini kuhakikisha zinaendelea kushiriki katika shughuli za kijamii ili kujenga mahusiano mazuri na wananchi wanaozunguka maeneo ya migodi. Read More
-
17
Apr
2023PROFESA KIKULA AWATAKA WATUMISHI WA TUME YA MADINI KUSHIRIKIANA KATIKA KAZI
Wafanyakazi wa Tume ya Madini wametakiwa kushirikiana kufanya kazi kwa bidii ili kufikia lengo la makusanyo lililopangwa na Serikali katika kipindi cha mwaka wa fedha 2022/2023 la shilingi bilioni 822. Read More
-
17
Mar
2023DKT. KIRUSWA AZINDUA MFUMO WA USHIRIKISHWAJI WA WATANZANIA KATIKA SEKTA YA MADINI
Watanzania waendelea kunufaika Sekta ya Madini, ajira 15,341 zamwagwa, manunuzi ya ndani ya nchi yafikia Dola za Marekani bilioni 2.22 Read More
-
13
Mar
2023DKT. BITEKO ATAKA WATUMISHI MADINI KUFIKIA MALENGO MAKUBWA YA SERIKALI
Katibu Mkuu Mahimbali ataka Wataalam Sekta ya Madini kuweka Msukumo katika Madini Kimkakati Read More
-
01
Mar
2023WAFANYABISHARA WA MADINI WATAKIWA KUEPUKA UTOROSHAJI NA BIASHARA HARAMU YA MADINI
Kamishna wa Tume wa Madini Profesa. Abdulkarim Mruma ametaka Wafanyabiashara wa madini nchini kuepuka na vitendo vya utoroshaji na biashara haramu ya madini, kwani vitendo hivyo vina athari kwa Wafanyabishara na Taifa kwa ujumla Read More
-
16
Feb
2023SERIKALI KUENDELEA KUIMARISHA USALAMA KWENYE USAFIRISHAJI WA MADINI KUPITIA VIWANJA VYA NDEGE
Mkaguzi wa Madini kutoka Ofisi ya Tume ya Madini katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro, Mhandisi Nyanswi Mbona amesema kuwa Serikali kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama imeendelea kuimarisha usalama kwenye usafirishaji wa madini mbalimbali kwenda nje ya nchi kupitia viwanja vya ndege ikiwa ni sehemu ya mikakati ya kudhibiti utoroshaji wa madini Read More