THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
MINING COMMISSION

News


 • news title here
  25
  Nov
  2020

  MWENYEKITI WA TUME YA MADINI ATEMBELEA KAMPUNI YA KASCO

  Tarehe 24 Novemba, 2020 Mwenyekiti wa Tume ya Madini Profesa Idris Kikula amefanya ziara katika Kampuni ya Uchimbaji wa Dhahabu ya KASCO iliyopo katika eneo la Makatang'ombe, Itumbi Wilayani Chunya, Mkoani Mbeya na kukuta shughuli za uzalishaji wa dhahabu zikiwa zimesimama Read More

 • news title here
  24
  Nov
  2020

  WACHIMBAJI WA MADINI WATAKIWA KUTUMIA MASOKO YA MADINI NCHINI

  Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula amewataka wachimbaji wa madini nchini kutumia masoko ya madini na vituo vya ununuzi wa madini vilivyoanzishwa nchini badala ya kutorosha madini kwani kufanya hivyo ni sawa na kuhujumu uchumi wa nchi. Read More

 • news title here
  18
  Nov
  2020

  TUME YA MADINI KUTOA MAFUNZO KWA WACHIMBAJI WADOGO WA MADINI KUHUSU MASUALA YA USALAMA NA USIMAMIZI WA MAZINGIRA

  Kukutanisha wachimbaji wadogo wa mikoa ya kimadini ya Mbeya, Chunya na Songwe Read More

 • news title here
  18
  Nov
  2020

  PROFESA KIKULA AONGOZA KIKAO CHA TUME YA MADINI

  Tarehe 16 Novemba, 2020 Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula ameongoza kikao cha kazi cha Tume ya Madini kilichofanyika jijini Dodoma lengo likiwa ni kupokea na kujadili taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya Tume kwa kipindi cha robo mwaka. Read More

 • news title here
  02
  Oct
  2020

  PROFESA MSANJILA AKUTANA NA KAMPUNI YA MADINI YA TWIGA

  Tarehe 01 Oktoba, 2020 Katibu wa Wizara ya Madini, Profesa Simon Msanjila amekutana na watendaji wa Kampuni ya Madini ya Twiga jijini Dodoma kwa ajili ya kupata taarifa ya utekelezaji wa kampuni hiyo pamoja na changamoto zake kwenye shughuli za uchimbaji wa madini. Read More

 • news title here
  28
  Sep
  2020

  TUME YA MADINI YAPATA KIKOMBE CHA USHINDI KWENYE MAONESHO YA MADINI GEITA

  Tarehe 27 Septemba, 2020 Tume ya Madini imepata kikombe cha ushindi mara baada ya kuibuka mshindi wa kwanza kwenye Kundi la Taasisi Wezeshi za Serikali Sekta ya Madini katika Maonesho ya Teknolojia na Uwekezaji kwenye Sekta ya Madini yaliyohitimishwa katika Uwanja wa Kituo cha Uwekezaji Bombambili Geita Majini. Read More