News
-
20
May
2022PROFESA KIKULA AAINISHA MAFANIKIO MAKUBWA USHIRIKISHWAJI WA WATANZANIA SEKTA YA MADINI
Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula ameeleza kuwa tangu kuanza kwa utekelezaji wa Sheria ya Madini ya Mwaka 2010 ambayo ilipelekea kutungwa kwa kanuni za Ushirikishwaji wa Watanzania katika Sekta ya Madini za Mwaka 2018 mafanikio makubwa yamepatikana ikiwa ni pamoja na ongezeko la fursa za uwekezaji katika sekta ya madini, teknolojia, manunuzi na ajira na kupelekea Sekta ya Madini kuendelea kukua kwa kasi. Read More
-
02
May
2022PROFESA KIKULA AWATAKA MAAFISA MADINI WAKAZI WA MIKOA KUONGEZA KASI UKUSANYAJI WA MADUHULI
Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula amewataka maafisa madini wakazi wa mikoa nchini kuongeza kasi ya ukusanyaji wa maduhuli ikiwa ni pamoja na kubuni vyanzo vipya vya mapato ili kufikia lengo lililowekwa la mwaka 2021/2022 la shilingi bilioni 650 na Sekta ya Madini kuendelea kuwa na mchango mkubwa kwenye Pato la Taifa. Read More
-
-
11
Mar
2022WACHIMBAJI WADOGO WA MADINI KAHAMA WATAKIWA KUFUATA SHERIA YA MADINI NA MIONGOZO MBALIMBALI
Katibu Tawala wa Wilaya ya Kahama, Timothy Ndaya amewataka wachimbaji wadogo wanaoendesha shughuli za uchimbaji wa madini ya dhahabu na ujenzi katika wilaya hiyo kufuata sheria za madini pamoja na kanuni mbalimbali zilizowekwa na Serikali ili uchimbaji wao uinue uchumi wa nchi bila kuleta athari zozote. Read More
-
08
Mar
2022WANAWAKE TUME YA MADINI WATEMBELEA KITUO CHA WASIOONA
Ni kuelekea Siku ya Wanawake Duniani Read More
-
23
Feb
2022WATANZANIA WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA KWENYE SEKTA YA MADINI
Watanzania wametakiwa kuungana na wawekezaji kutoka nje ya nchi kwenye utoaji wa huduma kwenye shughuli za uchimbaji wa madini nchini ili waweze kunufaika huku Serikali ikipata mapato yake. Read More