News
-
12
Aug
2022AFISA MADINI MKAZI WA MKOA WA DODOMA AWAKARIBISHA WAWEKEZAJI DODOMA
Afisa Madini Mkazi wa Mkoa wa Dodoma Mhandisi Nchagwa Marwa amewakaribisha wawekezaji wa madini kuwekeza kwenye shughuli za uchimbaji wa madini kutokana na mkoa huo kuwa na madini ya aina nyingi ikiwemo ya viwanda, ujenzi, vito na metali na kusisitiza kuwa Serikali kupitia Wizara ya Madini imeweka mazingira mazuri ya uwekezaji. Read More
-
10
Jul
2022MKUTANO NA WADAU WA UCHIMBAJI NA BIASHARA YA MADINI YA TANZANITE.
Mkutano na wadau wa uchimbaji na Biashara ya Madini ya Tanzanite Read More
-
06
Jul
2022SHERIA YA USHIRIKISHWAJI WA WATANZANIA KUTALETA MATOKEO CHANYA
Imeelezwa kuwa, endapo Sheria ya Ushiriki na Ushirikishwaji wa Watanzania katika Sekta ya Madini itasimamiwa vizuri itawezesha kufikiwa lengo la kufikia mchango wa asilimia 10 katika pato la Taifa. Read More
-
06
Jul
2022ZAMBIA YASHANGAZWA MFUMO USIMAMIZI SEKTA YA MADINI
Ujumbe kutoka Serikali ya Zambia ukiongozwa na Waziri wa Madini na Maendeleo ya Migodi Paul Kabuswe umeshangazwa na mfumo wa usimamizi uliopo kwenye sekta ya madini nchini. Read More
-
20
May
2022PROFESA KIKULA AAINISHA MAFANIKIO MAKUBWA USHIRIKISHWAJI WA WATANZANIA SEKTA YA MADINI
Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula ameeleza kuwa tangu kuanza kwa utekelezaji wa Sheria ya Madini ya Mwaka 2010 ambayo ilipelekea kutungwa kwa kanuni za Ushirikishwaji wa Watanzania katika Sekta ya Madini za Mwaka 2018 mafanikio makubwa yamepatikana ikiwa ni pamoja na ongezeko la fursa za uwekezaji katika sekta ya madini, teknolojia, manunuzi na ajira na kupelekea Sekta ya Madini kuendelea kukua kwa kasi. Read More
-
02
May
2022PROFESA KIKULA AWATAKA MAAFISA MADINI WAKAZI WA MIKOA KUONGEZA KASI UKUSANYAJI WA MADUHULI
Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula amewataka maafisa madini wakazi wa mikoa nchini kuongeza kasi ya ukusanyaji wa maduhuli ikiwa ni pamoja na kubuni vyanzo vipya vya mapato ili kufikia lengo lililowekwa la mwaka 2021/2022 la shilingi bilioni 650 na Sekta ya Madini kuendelea kuwa na mchango mkubwa kwenye Pato la Taifa. Read More