News
-
-
11
Mar
2022WACHIMBAJI WADOGO WA MADINI KAHAMA WATAKIWA KUFUATA SHERIA YA MADINI NA MIONGOZO MBALIMBALI
Katibu Tawala wa Wilaya ya Kahama, Timothy Ndaya amewataka wachimbaji wadogo wanaoendesha shughuli za uchimbaji wa madini ya dhahabu na ujenzi katika wilaya hiyo kufuata sheria za madini pamoja na kanuni mbalimbali zilizowekwa na Serikali ili uchimbaji wao uinue uchumi wa nchi bila kuleta athari zozote. Read More
-
08
Mar
2022WANAWAKE TUME YA MADINI WATEMBELEA KITUO CHA WASIOONA
Ni kuelekea Siku ya Wanawake Duniani Read More
-
23
Feb
2022WATANZANIA WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA KWENYE SEKTA YA MADINI
Watanzania wametakiwa kuungana na wawekezaji kutoka nje ya nchi kwenye utoaji wa huduma kwenye shughuli za uchimbaji wa madini nchini ili waweze kunufaika huku Serikali ikipata mapato yake. Read More
-
26
Jan
2022MAJALIWA: WATANZANIA TUSHIKAMANE KUIPA THAMANI TANZANITE
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka watanzania kushirikiana na kushikamana ili kuyapa thamani madini ya Tanzanite na kuifanya dunia nzima itambue kuwa madini ya Tanzanite yanapatikana Tanzania tu na tayari imeweka mazingira ya kuyaongezea thamani. Read More
-
25
Jan
2022WAZIRI BITEKO ATAJA MAFANIKIO KUANZISHWA KAMPUNI YA MADINI YA TWIGA//MAKUSANYO YAFIKIA BIL 528
Serikali imeeleza mafanikio yaliyopatikana kutokana na kuanzishwa kwa kampuni ya Madini ya Twiga (Twiga Minerals Corporation Limited) inayomilikiwa kwa ubia kati ya Serikali ya Tanzania na Kampuni ya Uchimbaji madini ya Barrick Gold. Read More